Kiswahili

Mtakatifu Mikaeli, Malaika Mkuu; utulinde katika vita; uwe kinga yetu katika maovu na mitego ya Shetani. Tunakuomba kwa unyenyekevu ee Mungu mweke Shetani chini ya mamlaka yako. Nawe Mikuu wa Majeshi ya mbinguni; kwa nguvu ya Mungu mtupe Shetani motoni na Pepo wabaya wote ambao; wanazungukazunguka duniani, wakitafuta kuangamiza roho za watu. Amina.

Leave a Comment